Agenda for the Annual General Meeting 2008

ENGLISH | KISWAHILI

Agenda

2.30 pm Call to order
Welcome and introduction of Steering Committee and Secretariat

2.45 pm Adoption of 2007 AGM minutes and 2008 AGM agenda
Adoption of the Minutes of the 2007 AGM
Adoption of the Agenda for the 2008 AGM

3.00pm Annual Report 2008
Chairperson's Speech
Treasurer's Speech
Questions and answers
Adoption of the Chairperson's and Treasurer's Speeches
Appointment of the TNRF Auditor for 2009

3.30pm Any Other Business - Issues raised by members for debate
Wildlife Act 2009

Other issues raised by members

4.00pm Meeting close

4.00pm - 4.30pm Tea and Bites

Booth presentations

********************

Mada

2.30 pm Kufungua mkutano
Kukaribisha wote na kutambulisha Kamati Endeshaji na Sekretarieti

2.45 pm Kukubali muhtasari wa Mkutano Mkuu wa Mwaka 2007 na mada ya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2008
Kukubali muhtasari wa Mkutano Mkuu wa Mwaka 2007
Kukubali mada ya Mkutano wa Mwaka 2008

3.00pm Taarifa ya Mwaka 2008
Hotuba ya Mwenyekiti
Hotuba ya Mtunza Hazina
Maswali na majibu
Kukubali hotuba za Mwenyekiti na Mtunza Hazina
Uteuzi wa mkaguzi wa mahesabu wa JMT kwa mwaka 2009

3.30pm Yatokanayo - Mada za kujadiliwa za wanachama
Sheria ya Wanyamapori 2009

Mengineo kwa kutoka maoni ya wanachama

4.00pm Kufunga mkutano

4.00pm - 4.30pm CHAI

Maonesho ya vikundi kazi na nafasi ya kupashana habari 

Relevance: